Sunday, 19 June 2011

Story : Window Through Which We Look

Ni kweli Yesu amekwisha kuja duniani
Alikuja very simple kuliko Wayahudi walivyotegemea, walidhani kwakuwa ni Mfalme angekuja na kwa ufahali. Sasa ndugu zangu wa leo tusidharau watu ambao wako simple, kwani mambo hayo yapo hata leo. Jiandae basi Yesu yuaja mara ya pili, ole wako akikukuta hujatubu na kumkubali yeye kama mwokozi wa ulimwengu!

No comments:

Post a Comment